HIVI NDIVYO CCM WALIVYOANZA KUMTANGAZA MGOMBEA WAO
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi John Pombe Magufulu pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwasalimia wananchi waliojitokeza kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma juzi
Dk. Magufuli akiwasalimia wananchi waliojitokeza kwa wingi kuja kumsalimia na kumuona mgombea huyo wa CCM.
Dk. Magufuli akisalimiana na wananchi
Mgombea mwenza wa Dk. Magufuli, Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa Dodoma kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Dk. John Magufuli akizungumza na wakazi wa Dodoma ikiwa sehemu yake ya kwanza kujitambulisha kwa wananchi baada ya kutangazwa kuwa mgombea rasmi wa CCM. Picha zote na Adam Mzee
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni