MWIGIZAJI NYOTA NCHINI WEMA ISAAC SEPETU KUWANIA UBUNGE
Muigizaji maarufu nchini Tanzania Wema Sepetu ambaye amekaa kwenye umaarufu kwa muda mrefu sasa. Yupo mbioni kufungua ukurasa mpya katika ulingo wa Siasa kupitia Chama tawala cha CCM
Mwanaperamiho blog inazifuatilia kwa umakini mkubwa taarifa zinazoeleza kuwa mlimbwende huyo anatarajia kugombea Ubunge wa Viti maalum Mkoani Singida.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni