Jumatano, 17 Juni 2015

JIONEE RAIS KIKWETE ALIVYOONGOZA MAELFU MAZISHI YA MUFTI MKUU WA TANZANIA SHINYANGA JANA


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa jana Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.

Masheikh kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba, aliyezikwa jana Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni