Alhamisi, 9 Julai 2015



HILI NDILO BASI JIPYA LA KLABU YA MAJIMAJI

Mbunge wa Songea Mjini Dk. Emanuel John Nchimbi (Kulia) akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Majimaji Bw. John Nchimbi basi la timu hiyo kama sehemu ya matekelezo yake kwa Klabu hiyo ya mpira wa miguu maarufu kama 'WANALIZOMBE' Makabidhiano hayo yamefanyika leo Mjini Dodoma.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni