WATU TISA WATHIBITIKA KUUAWA KATIKA SHAMBULIO LA KANISA NCHINI MAREKANI
Polisi wa eneo hilo la Charleston wameelezea kuwa kwa sasa wanamtafuta mshukiwa huyo anayeaminiwa kuwa kijana wa kizungu katika miaka ya ishirini.
Shambulio hilo limefanyika ndani ya kanisa la Emmanuel African Methodist Church, kanisa linaloaminiwa kuwa la zamani zaidi la kiafrika nchini Marekani
Polisi wamesema kuwa shambulio hili ni la chuki ya rangi ya ngozi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni