nimekuwekea picha za mapokezi ya chama cha act wazalendo mjini kigoma
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma jana wakati akiwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama hicho.
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akicheza wimbo wa chama ulioimbwa na msanii, Baba Levo, wakati wa mkutano wahadhara mjini Kigoma jana.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Kigoma wakifuatilia mkutano wa hadhara wa chama cha ACT Wazalendo mjini Kigoma jana.
Wakereketwa wa Chama cha ACT Wazalendo wakisikiliza hotuba ya Kiongozi wa Chama hicho Bw. Zitto Zubery Kabwe
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni