Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiandika majina ya watoto waliofika pamoja na wazazi wake kwa ajili ya kuwapatia zawadi wakati ya sherehe ya siku ya familia ya TBL iliyofanyika kwenye ufukwe wa bahari beach, dar es salaam juzi.
Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu akiwa na mumewe wakipata mlo.
Wakipata chakula wakati wa siku ya familia.
(CHANZO: MJENGWA BLOG)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni